playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
- Thread starter
- #21
Me naona huna cha kukomenti ungemtafuta Mshana jr akupe habari za nyota.Naona huna cha kuandika basi mtafute mshana Jr akupe ata kastori kaki Harry potter uvutie watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me naona huna cha kukomenti ungemtafuta Mshana jr akupe habari za nyota.Naona huna cha kuandika basi mtafute mshana Jr akupe ata kastori kaki Harry potter uvutie watu
We njoo na facts siyo mipasho mzee..me sipo hukoSiku tukiacha chuki dhidi ya wenye mafanikio tutapata maendeleo sijui kwanini hivi Mtoto wa mama Nasib kawakosea nini Tatizo nyotaaaa
Umeandika vyote umesahau jambo moja tu ladha ya muziki kwenye masikio ya hadhira na ndo nlichozungumzia nyimbo kusikizwa wapi na waoi sijui haimanishi ndo nzuri au bora ndugu hapo upana wa fan base pia...so unataka nambia chibonge ya marioo au iokote ya maua sama si nyimbo nzuri coz hazikufika ambapo hiyo nyimbo unayojaribu kuietea imefika?...usigeuze mjadala kwa kutaka kuingiza ubishan wa kiba na diamond tuzungumzie kazi tajwa hapo juu mzee na tuzungumzie ubora au uzuri wake yenyewe kama kazi mzee..apart from that wapo wasanii wengi sana bongo bt hatujawahi sikia diamond ambae ndo msanii maarufu kwa sasa akishindanishwa na jux, ben pol au barnaba ni KIBA tu coz when u talk abt Ali Kiba bas u talk abt a very talented kind of musician so hizo porojo za kufananisha kanzu na dela ni kujifariji tu kwa kujifanya kumpuuza hiyo haisumbui tunajua namna ambavyo mashabiki wa WCB na kiongozi wenu namna mnamuhofia so hayo hayana muda kwa sasa lets talk of INAMA.Kufeli kwake unakupima kwa nini ?
1.Kwa hisia zako?
2.Rotation katika radio zote za TZ?
3.Mauzo ya nyimbo katika digital platforms mbalimbali kama sportfy,boomplay,iTunes,YouTube,tidal nk?
Alafu Diamond sio Mara kwanza kutoa sebene ,sijui unaikumbuka KIZAIZAI baadaye ikarudiwa na Linah na ilitoka kabla ya huyo msanii wako unayempromote kwa kumlinganisha na Diamond.
Unamzungumzia msanii ambaye kwenye digital platform zote Africa mashariki anadominate yy ,hiyo yimbo unayoiponda Boomplay tokea itoke haijawai kushuka tatu bora,YouTube audio INA zaidi ya 2m ,ITunes Kenya ishashika namba moja Mara kibao,sportfy Tz haijwahi kushuka 5 bora.Unamzungumzia msanii ambaye ktk inchi za kusini mwa jangwa la Sahara kaibakisha Angola hajafanya whow, lkn zote kishafanya show,unamzungumzia msanii ambaye mpaka sasa ana booking ya show zaidi ya 25 ambazo tayari confirmed,sometimes mnafanya dhambi kubwa kulinganisha Kanzu na dela.
Au labda we kwako hit mpaka uipende wewe,wakiipenda wenzako sio hit?
Soma hii report ya 8020Umeandika vyote umesahau jambo moja tu ladha ya muziki kwenye masikio ya hadhira na ndo nlichozungumzia nyimbo kusikizwa wapi na waoi sijui haimanishi ndo nzuri au bora ndugu hapo upana wa fan base pia...so unataka nambia chibonge ya marioo au iokote ya maua sama si nyimbo nzuri coz hazikufika ambapo hiyo nyimbo unayojaribu kuietea imefika?...usigeuze mjadala kwa kutaka kuingiza ubishan wa kiba na diamond tuzungumzie kazi tajwa hapo juu mzee na tuzungumzie ubora au uzuri wake yenyewe kama kazi mzee..apart from that wapo wasanii wengi sana bongo bt hatujawahi sikia diamond ambae ndo msanii maarufu kwa sasa akishindanishwa na jux, ben pol au barnaba ni KIBA tu coz when u talk abt Ali Kiba bas u talk abt a very talented kind of musician so hizo porojo za kufananisha kanzu na dela ni kujifariji tu kwa kujifanya kumpuuza hiyo haisumbui tunajua namna ambavyo mashabiki wa WCB na kiongozi wenu namna mnamuhofia so hayo hayana muda kwa sasa lets talk of INAMA.
Zaidi ya hiyo unataka fact gani we ndo umeleta habari ya Huyo Gwiji kwahiyonulitaka nikuungeWe njoo na facts siyo mipasho mzee..me sipo huko
Soma wadau wanasemaje Unatakiwa kuoenda vya nyumbaninhawa ni vijana wetu wote tuwapende tuwasapoti industry ikueWe njoo na facts siyo mipasho mzee..me sipo huko
Tofautisha fan base na ubora..bidhaa za kichina nyingi zinakuja Tz na funalalamika hazina ubora coz ndo watumiaji wengi wa bidhaa hizo zisizo na ubora tupo huku bt siyo kweli kwamba za Germany, Uk,USA siyo bora ndo mana hazifiki huku kwa wingi so hiyo ya kuongoza wapi na wapi sijui n kutokana na fanbase alonayo though kazi inaeza ksiwe bora vilevile boss.Zaidi ya hiyo unataka fact gani we ndo umeleta habari ya Huyo Gwiji kwahiyonulitaka nikuunge
Soma wadau wanasemaje Unatakiwa kuoenda vya nyumbaninhawa ni vijana wetu wote tuwapende tuwasapoti industry ikue
Asa kusapot na usiseme ukweli inapotakiwa kusemwa kaka? Kwenye ukweli tunaweka sawa then maisha yaendelee HATA MWANAO USIJE MLEA KWA KUFUMBIA MACHO MADHAIFU YAKE HUTOSAIDIA.
SawaaHaya bana naona hapa uwezo wangu mdogo wa kuelewa mambo ya mziki wacha nikaongeze miche ya miti shambani
Tofautisha fan base na ubora..bidhaa za kichina nyingi zinakuja Tz na funalalamika hazina ubora coz ndo watumiaji wengi wa bidhaa hizo zisizo na ubora tupo huku bt siyo kweli kwamba za Germany, Uk,USA siyo bora ndo mana hazifiki huku kwa wingi so hiyo ya kuongoza wapi na wapi sijui n kutokana na fanbase alonayo though kazi inaeza ksiwe bora vilevile boss.
Mkuu ushawahi kufika Ujerumani au USA, au ndo habari za vijiweni tu. Kwa taarifa yako hakuna wateja wazuri wa bidhaa za China kama hao watu. Wachina wangekuwa wanategemea soko la Kariakoo tu saa hizi wangeshafunga viwanda.
Hahahahaaaaa so ubora wa bidhaa ya mchina inayouzwa Germany na kwingnepo Dunia upo sawa na huu wa kwetu?
Ndio maana naakuliza ushawahi kufika Ujerumani au umesikia kijiweni tu?
Usinitoe nje ya mjadala boss
Sawa, lakini acha kupiga watu fix
Tafuteni watu wapya ambao ni size yake, the dude's rate is down in the trench hata Vanny boy na Harmonise wameshamuacha mbali internationally.Kila nkiisikza kolabo ya diamond na fally ipupa(INAMA) najikuta nafurahia midundo tu na siyo uimbaji wa bwana Nassib Abdul najua ni vyema kubadilika lakini wakati mwingine tuangalie na kubadilika kwetu ME NADHANI HII MIRINDIMO YA KIKONGO KWA WABONGOFLEVA wangemuachia tu mzee wa Dushelele na Mvumo wa radi ALI KIBA huwa hakosei nb SIKIZA NAONEWA YA MAPACHA WATATU FT Ali Kiba.