Hii mirindimo ya kikongo kwa hapa bongo ni Ali Kiba tu Diamond umefeli..

Hii mirindimo ya kikongo kwa hapa bongo ni Ali Kiba tu Diamond umefeli..

Niliyemfananisha mafanikio na hao madogo ni Ali Kiba, they've surpassed him by now kwa fame na kipato.
Unamfananisha msanii alosaini Global deal na sony the biggest label worldwide na hao watoto mzee?..punguza mahaba sheikh
 
KibaMia matangazo umelipia??
Kila nikiisikiliza kolabo ya Diamond na Fally Ipupa(INAMA) najikuta nafurahia midundo tu na siyo uimbaji wa bwana Nassib Abdul. Najua ni vyema kubadilika lakini wakati mwingine tuangalie na kubadilika kwetu.

Mimi nadhani hii mirindimo ya kikongo kwa wabongofleva wangemuachia tu mzee wa Dushelele na Mvumo wa radi Ali Kiba huwa hakosei nb sikiza naonewa ya mapacha watatu FT Ali Kiba.
 
Chuki binafsi diamond ni mzee mkubwa sasa hivi richest musician E.A nzima
 
Unamfananisha msanii alosaini Global deal na sony the biggest label worldwide na hao watoto mzee?..punguza mahaba sheikh
Alikiba hajasaini na Sonny ila Rock star ndio imesaini na Sonny kusimamia mauzo ya kazi za Alikiba huko majuu.

Sasa tatizo kazi kali hana
 
Back
Top Bottom