Hii misemo ya kijamaa imepotelea wapi ndugu zangu?

Huku mikoani, tumeambizana , ukienda kwa ndugu yako dar,..fahamu kuwa hapendi uguse chakula chake....hao watu wa dar ni watu wa aina ya kipekee sana, uchoyo wanasomea chuo na vyeti wanapewa..๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Weee wa wapi? Mimi kwangu wageni wakija nawaambia "ebu tuhahirishe maongezi tuhudumie meza kuu". Hapo vyuku, misosi hatari! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ