Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari,
Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,,
Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni iwezekanavyo kuweka vizuri ili eneo au kuondoa Mizani kabisa kwa eneo hili
Mzani wa Iringa(Tanangozi) uko vizuri sana,, eneo ni pana na panavutia ila hali ni tofauti sana kwa hapa Makambako.
 

Attachments

  • IMG_20231029_092959_369.jpg
    IMG_20231029_092959_369.jpg
    1.5 MB · Views: 1
Back
Top Bottom