Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

We ishi maisha yako bro. Ukianza kufuatilia ya wengine sijui vibabu vihuni sijui nini hutaweza. Maisha ni haya haya hakuna mengine. Ni lazima tu tuyafurahie kila mmoja kwa jinsi yake ali mradi hatuvunji sheria...[emoji51][emoji51][emoji51]
Sawa babu mpenda makalio samahni babu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Shetani
Anakanu kanuni zake
Za uendeshaji Dunia
Miaka ya hv Sasa huo ndiyo mtindo
Tuendako mm najua kinacho kjua
Kila mtu binafsi ajipange Cha kufuata
 
Back
Top Bottom