Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

I disagree yet stands to be corrected.

Obsession ya makalio makubwa sio modern obssesion. Ipo tangu enzi za Stone Ages.
Obsession ya makalio makubwa ni natural kwa mwanaume na unaweza sema ipo deeply embedded kwenye DNA ya mwanaume na nature yenyewe kama sehemu ya kuendeleza maisha duniani.
Sababu makalio makubwa, kiuno chembaba, hips pana, maziwa yaliyosimama na chuchu zilizochomoza kama jua la asubuhi, vinaashiria mwanamke huyo ni mwenye Afya na fertile anaweza pia anafaa kupass vinasaba vyangu kuelekea generation nyingine hence muendelezo wa maisha duniani.
Tofauti na mwanamke mwembamba kupitiliza na asiye na afya kwani ni wazi hatoweza kuzaa na kupass vinasaba vyangu vyangu kuelekea next generation.

Hivyo conclusion ni makalio makubwa ni sehemu ya human's natural survival instincts.
Lakini nature imefanya hiyo instinct iwe kama kivutio, ipelekee kuwa na hamu na urge ya sex pleasure na kureproduce hence kuendeleza maisha.
Na kama ilivyo Sex, inafanyika sababu kuna pleasure kwa kuwa binadamu ni very intelligent animal na ana uwezo mkubwa wa kufikiria na kuhoji kuliko viumbe wengine wanaoishi instinctively bila kufahaumu.
Means ungemwambia fanya sex ili uzae tu asingefanya kama hakuna sababu maalum.

Reproduction hence Survivability.
Shit! nilidhani hili jukwaa ni Intelligence.
Huu uzi ulipaswa kufungwa baada ya hii comment basi tu watu wabishi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom