Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani kawambia kushabikia Chadema ndio unapata uzima wa milele au unapata maisha Bora mpaka uwaone wanaokuwa against yenu ni washamba Kama ukweli unaipenda Sana Chadema kwanini usiwakatae Wazazi wako ambao Ni CCM? au uwaue kabisa au uwatukane kabisa alafu uturushie hapa jamvini clip ili tuone kweli wewe una uchungu na CHADEMA? Tofauti na hapo wewe Ni mnafiki na una wivu au chuki binafsi na Wasanii na Wala sio suala la Itikadi alafu baadae hao hao wasanii wakifa njaa mnaanza kuwaponda na kuanza kuwadhiaki.
Kama unataka wasanii wapige kampeni chama chenu Cha Chadema wambieni viongozi wenu watoe mpunga mrefu alafu muone Kama hao wasanii watakataa kuliko huu upuuzi mnaofanya sasa hiv mnaonekana Ni wapumbavu Sana.