Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Kura za Watanzania wanaojielewa ni Davido na Wizkid mpaka waNigeria washangae mvua ya kura kutoka Tanzania. Tuanze mdogomdogo kwa mambo ambayo yako kwenye uwezo wetu kama hili, TUTAFIKA TU.
Link mama, nifanye jambo
 
Zuchu anasema wapinzani watetereke leo anakuja kuomba kura hadi kwa sisi tunaotakiwa kutetereka?. Mimi binafsi tangu wameanza ujinga wao wa kusapoti CCM mwaka huu sijawahi shabikia msanii yoyote mfano nilikuwa namkubali sana Konde kwa kuwa Wasafi wanambeza na Ali kwa sababu hiyohoyo lakini sasa hivi sijali na sitasupport kazi zao tena.
mama kubwa Zuchu ajakuomba kura wewe hizo ni shobo zako mwenyewe yeye kaomba mashabiki wake wanaotaka kumpigia kura.
 
Jichekesheni sana. Ila habari ndiyo hiyo!
Hee siku hizi upo huku,vipi huko kwenu watu wanavuta kwa Corona.

Kwa hiyo sasa hivi Corona umeachana nayo unakuja huku ktk vuguvugu la kumnyima kura Zuchu?

🤣🤣🤣

Hata hasipo pata hiyo hatua tu ya kuchaguliwa ktk kundi la kupigiwa kura ni hatua kubwa sana.
 
Hata walipwe kias gan hawawez kuperform CHADEMA wanatishwa na serikal maana ikiamua kukushusha ni dakika tu unabambikiwa kodi kesi unatupwa lupango mali zqko zina filisiwa lesen unafungiwa
Na ndio hapo pa kuwang'oa hawa fisi... Hii nchi si mali yao.
 
Yani njemba nzima zinaangaika na mtoto mdogo wa kike zuchu [emoji3][emoji16][emoji16]
Mkimalza huko..hamien kwa kiba, harmonize rosa lee,Simba hawa si wpo Afrima? And then tutakua tumefanikiwa kuitoa ccm madarakan

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Weka link tuwapigie nigerians kura, wa bongo watabebwa na tume
Daah. Hii mbinu ni nzuri. Ubunifu huu uendelezwe katika nyanja mbalimbali. Dude liondolewe! Hadi watu waone aibu kuliunga mkono.
 
Yani njemba nzima zinaangaika na mtoto mdogo wa kike zuchu [emoji3][emoji16][emoji16]
Mkimalza huko..hamien kwa kiba, harmonize rosa lee,Simba hawa si wpo Afrima? And then tutakua tumefanikiwa kuitoa ccm madarakan

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Nimepiga kura na wote nimewatosa. Kitu nimekipeleka Nigeria na nilivyo na roho mbaya kwa East Africa nimepeleka Uganda na Kenya. Yani nimemaliza kuwachinja kiroho safi
 
Back
Top Bottom