Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga kura ya grammy kweny link gani?[emoji16] Na dem atachukua award yan hamtoamin wazee wa kuitoa ccm...Nimepiga kura na wote nimewatosa. Kitu nimekipeleka Nigeria na nilivyo na roho mbaya kwa East Africa nimepeleka Uganda na Kenya. Yani nimemaliza kuwachinja kiroho safi
Tena link kaniwekea huyo huyo Zuchu. Nimewachinja wote. Yani nimepiga Nigeria na kwa East Africa nimeenda Uganda na Kenya. Hawa wasanii wa bongo ambao watu wakipata shida za watawala hawawezi hata kusema nimewachinja kiroho mbaya. Sasa huyo Zuchu tuone kama kuna mnaijeria atakayempigia kura kama sisi tunavyoiga kwa wanaijeria. Bora hata wangemuweka Jide au Ney ningewapigia ila siyo hawa mpaka wa CCMUmepiga kura ya grammy kweny link gani?[emoji16] Na dem atachukua award yan hamtoamin wazee wa kuitoa ccm...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mkuu zuchu kaweka link wapi? Mbona instagram haipo [emoji3]Tena link kaniwekea huyo huyo Zuchu. Nimewachinja wote. Yani nimepiga Nigeria na kwa East Africa nimeenda Uganda na Kenya. Hawa wasanii wa bongo ambao watu wakipata shida za watawala hawawezi hata kusema nimewachinja kiroho mbaya. Sasa huyo Zuchu tuone kama kuna mnaijeria atakayempigia kura kama sisi tunavyoiga kwa wanaijeria. Bora hata wangemuweka Jide au Ney ningewapigia ila siyo hawa mpaka wa CCM
Maphaller mko wengi sanaAcha kuwazuga watu, huna link yoyote we mwera.
Wasanii.wa.nigeria.comWeka link tuwapigie nigerians kura, wa bongo watabebwa na tume
Maccm utayajua tu, yana akili makengeza sana[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio fala, tatizo hujui hata Grammy Awards Winners wanapatikana vipi. Sasa kama link unayo wape sasa wapige kura, sio unaleta link za Instagram. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepiga kura na wote nimewatosa. Kitu nimekipeleka Nigeria na nilivyo na roho mbaya kwa East Africa nimepeleka Uganda na Kenya. Yani nimemaliza kuwachinja kiroho safi
Ingia Twitter kwenye account yake acha ushambaMkuu zuchu kaweka link wapi? Mbona instagram haipo [emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Maccm utayajua tu, yana akili makengeza sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwan ungesema Twitter tu mzee ungepungukiwa nn au ndo mtoto wakike zuchu kashakutibua? [emoji3][emoji3]Ingia Twitter kwenye account yake acha ushamba
Tufanye umeshinda, tangulia kwa mangi nakuja kulipa mkuuNo bro, mimi sio CCM wala CHADEMA, sina muda wa kubishana siasa kabisa. Tupo hapa kwenye Grammy Awards, inaelekea wewe uzifahamu vizuri, unarukia gari kwa mbele tu.
Kwani shida ipo kwa watu wa chadena kuchagua wa kumpigia kura na kumpigia kampeni ?? Hii si kama wao tu wanavyofanya kwa ccm!!Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani kawambia kushabikia Chadema ndio unapata uzima wa milele au unapata maisha Bora mpaka uwaone wanaokuwa against yenu ni washamba Kama ukweli unaipenda Sana Chadema kwanini usiwakatae Wazazi wako ambao Ni CCM? au uwaue kabisa au uwatukane kabisa alafu uturushie hapa jamvini clip ili tuone kweli wewe una uchungu na CHADEMA? Tofauti na hapo wewe Ni mnafiki na una wivu au chuki binafsi na Wasanii na Wala sio suala la Itikadi alafu baadae hao hao wasanii wakifa njaa mnaanza kuwaponda na kuanza kuwadhiaki.
Kama unataka wasanii wapige kampeni chama chenu Cha Chadema wambieni viongozi wenu watoe mpunga mrefu alafu muone Kama hao wasanii watakataa kuliko huu upuuzi mnaofanya sasa hiv mnaonekana Ni wapumbavu Sana.
Mkuu kiroho safi wasingeingia kwenye ushabiki wa kisiasa na mbaya zaidi chama wanachoshabikia ndicho chenye serikali ambayo mengi maovu yamefanyika kwa miaka mitano dhidi ya binadamu na bado wakakishabikia nakuapia ningewapigia kura kama wasinge kishabikia. Ila walichokionyesha kina Davido kule Nigeria kimenifanya nione hawa wa kwetu malofa. Any way nimeshawachinjilia baharini na roho yangu imefurahi.Kwan ungesema Twitter tu mzee ungepungukiwa nn au ndo mtoto wakike zuchu kashakutibua? [emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Sasa itabid ukitoka hapo mkuu uhamie kule kwa kiba na harmonize Mana naona wao pia wanawania AfrimaMkuu kiroho safi wasingeingia kwenye ushabiki wa kisiasa na mbaya zaidi chama wanachoshabikia ndicho chenye serikali ambayo mengi maovu yamefanyika kwa miaka mitano dhidi ya binadamu na bado wakakishabikia nakuapia ningewapigia kura kama wasinge kishabikia. Ila walichokionyesha kina Davido kule Nigeria kimenifanya nione hawa wa kwetu malofa. Any way nimeshawachinjilia baharini na roho yangu imefurahi.
Nimewachinja wote. Yani kila penye msanii wa Taznania nime vote na wote nimewapeleka nyavuni.Sasa itabid ukitoka hapo mkuu uhamie kule kwa kiba na harmonize Mana naona wao pia wanawania Afrima
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app