Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

Attachments

  • IMG_3573.png
    IMG_3573.png
    881.4 KB · Views: 1
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
Wewe una kitu, utafika mbali🤣

Haya unataka movie gani picha la kutisha ama? Nisije nikapendekeza ya romance ukazidi kuteseka mahali ulipo
 
Back
Top Bottom