Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Pole sana mkuuWapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua