Pole sana mkuuWapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
Shukran mkuuPole sana mkuu
Ndo maana mnaugua figo!! Local pombe meza ya ovyoooChai
Bee KeeperHorror na action dear
Mimi ni movie addict ukitaja za zaman jua tayar, hapo nshaona zoteBee Keeper
Sisu
Fall
Nowhere
Ghosted
Plane
Acrimony
Meat jpg!! Kabla hujawa tapeli, elimika kwanzakaribu nyumbani
View attachment 2974673
Nitajia list ya best movies zako please na mimi nizichekiMimi ni movie addict ukitaja za zaman jua tayar, hapo nshaona zote
Love story nzuri sana, unaweza kujikuta ukapenda tena wakati ushapendaHaya cheki, intergalactic ni animation lakini.
Chizi wewe [emoji119]Haswa upate hogo la moto inapendeza sana ni mwendo wa milio ya panya tu, assshhhh, sssiiiihhhh anhhhhhhhhh
Haya nipe mda kdgNitajia list ya best movies zako please na mimi nizicheki
Wewe ni msimbe wa kike,mimi ni msimbe wa kiume. Unaonaje wasimbe tukaonana tujadiliane kuhusu hizi mvua!?Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
Tujue jinsi ya kusaidia mafuriko si etiWewe ni msimbe wa kike,mimi ni msimbe wa kiume. Unaonaje wasimbe tukaonana tujadiliane kuhusu hizi mvua!?
Ushaicheki? 🤣🤣🤣Love story nzuri sana, unaweza kujikuta ukapenda tena wakati ushapenda
Dah!! Kumbe nna movie nyingi ndani afu sizijui!!Horror movies
1. Dracula untold
2. A Quite Place 1&2
3. Bird Box
4. Priest
5. Day Shift
6. The Nun 1&2
7. The Conjuring 1-3
8. Morbius
9. The Twilight 1-4
10. Wrong Turn
11. Hostel
Hali ya hewa sio nzuri ujueHaya nipe mda kdg
Usipende slope mkuuSawa mkuu.
Chapa hiyo ya bia mbili kwenye lipa namba hii 9650011.