Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kula na uhame hapo haraka Sana,maana ukimla na uendelee kuishi hapo lazima atakubebesha majukumu.
Pia unaweza jikuta umeoa bila kukusudia.
Pia unaweza jikuta umeoa bila kukusudia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanawake usianze na reward majukum Yao wanayamudu we Anza na kugonga sema kama ulivyosema hayana formula ila mi napenda kwenda straight naomba mzigo Kisha namuangalia usoni akikubali she thank me later!
Mara nyingi sana iwe j5 ndio wanawake huwa na uhitaji mkubwa wa ngono sijui kwa Nini na kidogo alhamis
Mkuu bill yako ya maji nitalipa mimi mwezi huu bonge moja la Ushauri na ubarikiwe sanaMjomba usidhani kama kanaelekea halafu eti wewe ndio ukakaomba kakakubali ukajiona mjanja, ujue tayari lazima kana target yake, mjomba kanataka kuongeza idadi ya wasaidizi, chagua ww uwe wa taka, maji, umeme na azam, halafu kuna wa outing, kuna wa chuo wa kujisomea, kuna mzee mstaafu, wewe unaweza kuwa unahudumia mpaka mahitaji mnapika wote ila ukifikia hapo basi akipata mimba 98 % utaambiwa ni yako.
My take: usipende kuwa na mahusiano ambayo hayana faida na jirani, workmate, mfanyakazi wako, utageuka mtumwa.
Baadaye uko miaka ya mbele mbele uko watu wa mawazo kama haya ndo utawaskia wakilalama eti "oooh unajua yule ni zulumati na fisadi mkubwa bila ivyo asingekuwa na utajiri vile"Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini
Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii ananipa.
Sasa juzi kamerudi kamelewa kakaniomba nikasaidie kufungua mlango wake sikustuka kumuona katika hali ile, Japo kenyewe kakaniwahi kunipiga sound kuwa hakajawahi kunywa pombe toka kazaliwe ko imetokea tu walikua Chuo so room mate wake wakati yuko pale Hostel ilikua Birthday yake sikukazingatia sana nikafanya kama ambavyo msaada wake unataka nikarudi zangu room kwangu.
Kwa jinsi kalivyo kanavutia kinoma kukatafuna mi pia natamani sana ukizingatia kanavyonipatia pasi za upendo kwamba nishindwe mimi tu.
Kwangu inanipa ugumu wa kukatafuna Mbususu yake maana dah tamaa kiponza sana kwanza LUKU, MAJI NA ADA YA UCHAFU tunashare wawili pekee sasa dahh!!! bichwa linaumaa.
WAKUU NIPIGE NIACHE maana kama naziona bill zote hizo juu yangu baada ya GAME.
WAZE MAISHA MAGUMU SANA......
Ukila tu hilo gheto huji leta dem mwingine inakuwa basi tena mimi majirani siri sababu hiyoHabari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini