Hii mvua inaniletea tamaa ya kutaka kumla mpangaji mwenzangu ila nafsi inasita

Kula na uhame hapo haraka Sana,maana ukimla na uendelee kuishi hapo lazima atakubebesha majukumu.
Pia unaweza jikuta umeoa bila kukusudia.
 
😁 MKuu Yani manzi kulewa halafu akakuchekea kwako ndio imeisha?Unawajua watoto wa elfu mbili ww?Fanya hivi endelea tu na nyeto lasivyo utaaibika soon,trust.
 
😁 MKuu Yani manzi kulewa halafu akakuchekea kwako ndio imeisha?Unawajua watoto wa elfu mbili ww?Fanya hivi endelea tu na nyeto lasivyo utaaibika soon,trust.
Kwamba Mkuu sikawezi kukadinya au?!
 
Kula na uhame hapo haraka Sana,maana ukimla na uendelee kuishi hapo lazima atakubebesha majukumu.
Pia unaweza jikuta umeoa bila kukusudia.
Uko pamoja na mm mkuu
 
Huyu mkuu kakomaa na J5 ya amajivu na Alhamisi kuu wacha nianze kucheza nazo hizi siku
 
Mkuu bill yako ya maji nitalipa mimi mwezi huu bonge moja la Ushauri na ubarikiwe sana
 
Ukimla ujue ndo mwisho wako kuleta demu Apo kwako. (UMEPIGA PINI)

Na ikifika miezi 6 unaishi Apo unamla (Hata kama vyumba tofauti) ,kiserikali uyo tayari Ni mkeo😊
 
Baadaye uko miaka ya mbele mbele uko watu wa mawazo kama haya ndo utawaskia wakilalama eti "oooh unajua yule ni zulumati na fisadi mkubwa bila ivyo asingekuwa na utajiri vile"

Sasa wkt wenzako wengine wamesevu vibunda kwa kesho yao wewe unatafuta wakukipunguza icho kibunda hlf sasa unaonekana mwogamwoga
 
Ukila tu hilo gheto huji leta dem mwingine inakuwa basi tena mimi majirani siri sababu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…