Hii nafasi ya tatu haimponyi Simba!

Leo yanga amecheza kikubwa mno, hakutumia nguvu nyingi, amerelax na kutumia nafasi vema
Hata ukiangalia mentality ya Gamondi alikuwa ana smile kwanzia anaingia uwanjani, ni kama mtu anayefurahia mpira ni kama show ya burudani kwake tofauti na kocha wa Simba aliyeonakana ni mwenye presha kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…