Bianconeri
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 113
- 75
Iandike sehemu unakiri uipge tena
Ipo siku humu JF mtu atakuja kuuliza hii gari imepaki hapa barabarani leo siku ya 3 ya nani!
Ni mara ya pili sasa nakuta missed call ya hii namba +255 784 105 505. Nikipiga naambiwa haipo na nikiangalia jina la usajili wake nakuta haina jina.
Je kuna ambaye anafahami ni namba ya ninu na kuna ambaye alishawai kupigiwa simu na hiyo namba?
Kweli maana hizi siredi nyingine daahIpo siku humu JF mtu atakuja kuuliza hii gari imepaki hapa barabarani leo siku ya 3 ya nani!
HapanaUshawai Kopa tala au branch?