Bianconeri
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 113
- 75
Ni mara ya pili sasa nakuta missed call ya hii namba +255 784 105 505. Nikipiga naambiwa haipo na nikiangalia jina la usajili wake nakuta haina jina.
Je kuna ambaye anafahami ni namba ya ninu na kuna ambaye alishawai kupigiwa simu na hiyo namba?
Je kuna ambaye anafahami ni namba ya ninu na kuna ambaye alishawai kupigiwa simu na hiyo namba?