Hii namba ni‭+255 784 105 505‬ ya nani?

Hii namba ni‭+255 784 105 505‬ ya nani?

Bianconeri

Senior Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
113
Reaction score
75
Ni mara ya pili sasa nakuta missed call ya hii namba ‭+255 784 105 505‬. Nikipiga naambiwa haipo na nikiangalia jina la usajili wake nakuta haina jina.
Je kuna ambaye anafahami ni namba ya ninu na kuna ambaye alishawai kupigiwa simu na hiyo namba?
 
Hiyo namba ni yangu mkuu, nashangaa kwa nini huipokei, nakumbushia deni langu, umekaa nalo siku nyingi, hadi nimekubadirishia namba sbabu unanikwepa sana mkuu.
Ni mara ya pili sasa nakuta missed call ya hii namba ‭+255 784 105 505‬. Nikipiga naambiwa haipo na nikiangalia jina la usajili wake nakuta haina jina.
Je kuna ambaye anafahami ni namba ya ninu na kuna ambaye alishawai kupigiwa simu na hiyo namba?
 
Angalia sana; Wasojulikana weshaanza tena. Taratiibu chunguza comments zako unazotoa haswa kuhusu chaguzi zilizopita
 
Wasiojulikana hao wanataka kukupapasa...tulia
 
...Mungu anakuonaaa..unaenda kanisani..ukidangaaa..ukipiga mkeoo...unatembea na mtotoo mdogooo....mchungajiii...shehe unakula kitomotoo..unatumia vumbi la kongoo...una mke...wwe mchungaji unakula kondooo.unalala kwa mlupooo...ayayaaaaaa
 
No. angu hiyo, niliiangusha kwenye daladala.

naomba nitumie pm
 
Ndugu mteja hiyo ni namba yetu TALA ni hivi ile hela uliyokopa irudishe kabla hujachezea makofi ya mgongo.
 
Back
Top Bottom