Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Kwa nini?Badilisha simu
ππππWasiliana na mtoa huduma wako wa simu au mamlaka husika kwa ushauri zaidi
Aisee hawaniweziItakuwa ya kuzimu, wachawi wanataka kunena na wewe
Uko sahihi. Ya Sri Lanka ni 94code country ya Sri Lanka
Aisee hata mimi imenipigia jana usiku wa saa nane mkuu [emoji51]Hapo vip!!
Hii number +94532857343 ni ya wap...mbona haina nchi then inanipigia simu from no where tena saa 8 usiku.
Si ndio hapo.Wazungu walivyokweka option ya kublock unadhani walikuwa wajinga?
Hapo vipi!
Hii number +94532857343 ni ya wap...mbona haina nchi then inanipigia simu from no where tena saa 8 usiku.
Ila watu πππItakuwa ya kuzimu, wachawi wanataka kunena na wewe