Hii nani zaidi utopolo lazima waitishe press conference nyingi sana

Hii nani zaidi utopolo lazima waitishe press conference nyingi sana

Press ya kutambulisha project ya nani zaid manara alisema"sisi yanga tuko wengi,tumechukua ubingwa mara nyingi kuliko club yoyote,msimu huu tumechukua makombe yote so hatuna sababu ya kushindwa kwenye hii project ya nani zaidi" Baada ya kuona anaelekea kushindwa akasema...mo ameingilia kati kwa kuchangia simba wala sio washabiki.Manara alikuwa mtu hatari sana pale simba..asente Babra Gozales
 
Back
Top Bottom