Hii nayo ni kokoro

Hii nayo ni kokoro

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
1.Kumlaza mchepuko kwenye kitanda cha mkeo wa ndoa,hii ni kokoro.

2.kujifanya unaidharau ndoo ya bafuni,wakati huohuo unapoenda kuoga unapiga mswaki kwa maji ya ndoo hiyohiyo,hii ni kokoro.

3.Mnamiliki magari zaidi ya moja lakini mkeo unambania kudrive,huku ukiona ufahari kuyabadilisha tu,hii ni kokoro.

4.Wamiliki wa nyumba,tabia ya kuja kuomba mboga kwa mpangaji wako mara kwa mara,hii ni kokoro zaidi(refer 2015-20).

5.Nakudai,lakini unanenepeana kila siku,hii ni zaidi ya kokoro,hapa umeonesha ishara ya kiburi na dharau.

6.Nakupigia simu ulipe deni unanijibu umesafiri wakati nakuona BAR na strippers.hii ni kokoro aisee
 
Mpaka tufike 2020 , wengi tutakuwa machizi
 
ayaaaa,kujengewa kiwanda afu badae unanza kuzingua....mweny kiwanda anaacha kuzalisha products anakuachia malighafi zako na vijana wakiwa hawan ajira tena zote zinasepaaa
 
Back
Top Bottom