Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii.
Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha.
Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao.
Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social media kwa uhuru. Mtumishi wa UMMA unaishi kwa kificho kana kwamba haupo. Ukijenga nyumba kali nongwa, gari kali nongwa.
Kwenye utumishi wa umma kuna wasomi na wazoefu lakini teuzi hizi zikija zitawapata vijana waliomaliza chuo hawana uzoefu kwakuwa tu walijiuza kwenye mitandao ya kijamii, wewe mtumishi na Master's yako utasubiri kazi za kukaimu umeneja.
Ukianza tu kuchekesha mitandaoni kesho unaitwa Ofisni.
Ikumbukwe ili utrend lazima uwakere watu A na uwape furaha watu B, baadaye wote kundi A na kundi B unawaweka pamoja na kuunda kundi C . Sasa huku unaandaa kundi C kabla adhma haijatimia ofisini lazima ukutane na kitu kizito.
Utumishi wa umma ni kifungo.
Fursa za mtumishi ni chache, kufungua duka, kibanda cha uwakala na vitu kama hivyo ambavyo always havina issue. Njaa tupu.
Wanaocheza na media kama Mwijaku, Baba levo, Mpoki, Joti, Masanja, Diamond, Harmonize, Nannauka, na wengine wanapiga sana pesa.