Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Tusiongee mengi sana lakini picha inajeleza.
Hasa wafuasi wa cSana
Don't judge with low IQ people like you huwa si reply Uzi wa kipumbavu hiviWeee ukiingozwa how unapata mda wa kufwatilia hao baada ya kuwaza jinsinya kupata silaa vita
Ni aibu mnoHao ni wabunge wako
Hapo wakarudi nyumbani wanaambiwa
"Pole kwa kazi mme wangu"
"Shkamoo baba"
IQ ndogo chanzo ni ugali
Umesema vizuri sana maana kama baba Levo amewahi kuwa diwani huko Kigoma bila hata kuwa hivi alivyo.Mwenye IQ mdogo siyo Mwijaku na Babaevo bali ni wale wanaowafanya akina baba levo wafanye huu upuuzi.
Watu wasingekuwa wanasapoti upumbavu wa akina Baba Levo basi akina Baba Levo wasingefanya huu upuuzi.
Tambua kwamba akina baba levo wananufaika kutokana na upuuzi huo uliopitishwa na watu wenye IQ ndogo.
Binafsi siwalaumu akina Mwijaku bali wale wanaoshabikia upuuzi wa akina baba levo.
Cc Dr am 4 real PhD Monetary doctor
Mkuu hawa mbona kama ni waheshimiwa wabunge wetu watarajiwa au?Tusiongee mengi sana lakini picha inajeleza.
View attachment 3390582
Ushazungumza na mkeo SetfreeMwenye IQ mdogo siyo Mwijaku na Babaevo bali ni wale wanaowafanya akina baba levo wafanye huu upuuzi.