Hii nchi Idadi kubwa ya watu Wana IQ ndogo mno japo watu hawapendi kusikia hili

Mnaowasema vibaya nyie ndo mna IQ ndogo.

Unadhani kubuni kitu cha kukuletea kipato cha kueleweka ni kazi ndogo?.

Wanaojiita wana IQ kubwa humu na wamehitimu ngazi mbalimbali za kitaaluma ila kila siku wanalia na kuomba misaada humu. IQ zao ndogo ndiyo maana zimeshindwa kubuni kitu kuanzia chini ambacho kingerahisisha maisha yao.

Mimi ni adui wa machawa lakini hao jamaa wana maisha mazuri kunizidi mimi mwenye taaluma ya vitu vigumu vinavyowezekana kusomwa na wachache.
Hivyo ninawapongeza sana kwa uthubutu wao
 
Tusiongee mengi sana lakini picha inajeleza.
Huhitaji kwenda mbali kiasi hicho kujua nchii hii watu wengi wana IQ ya chini sana. Chukua asilimia za ushindi wa CCM popote pale zinakuba percentage ya watu wenye IQ ndogo sehemu hiyo

Ndivyo nilivyogundua USA ni idadi gani ya watu wana IQ ndogo - nilichukua % ya ushindiwa Trump nikapata jibu
 
Mnaowasema vibaya nyie ndo mna IQ ndogo.

Unadhani kubuni kitu cha kukuletea kipato cha kueleweka ni kazi ndogo?.

Wanaojiita wana IQ kubwa humu na wamehitimu ngazi mbalimbali za kitaaluma ila kila siku wanalia na kuomba misaada humu. IQ zao ndogo ndiyo maana zimeshindwa kubuni kitu kuanzia chini ambacho kingerahisisha maisha yao.

Mimi ni adui wa machawa lakini hao jamaa wana maisha mazuri kunizidi mimi mwenye taaluma ya vitu vigumu vinavyowezekana kusomwa na wachache.
Hivyo ninawapongeza sana kwa uthubutu wao
Kama ni akili kwanini usiwa ige na wewe kutengeneze hicho kipato tukisema Kuna watu Wana IQ za siafu mnaona kam mnasemwa sijui
 
Mnaowasema vibaya nyie ndo mna IQ ndogo.

Unadhani kubuni kitu cha kukuletea kipato cha kueleweka ni kazi ndogo?.

Wanaojiita wana IQ kubwa humu na wamehitimu ngazi mbalimbali za kitaaluma ila kila siku wanalia na kuomba misaada humu. IQ zao ndogo ndiyo maana zimeshindwa kubuni kitu kuanzia chini ambacho kingerahisisha maisha yao.

Mimi ni adui wa machawa lakini hao jamaa wana maisha mazuri kunizidi mimi mwenye taaluma ya vitu vigumu vinavyowezekana kusomwa na wachache.
Hivyo ninawapongeza sana kwa uthubutu wao
IQ sio Mafanikio na wala sio Elimu mzee note that
 
Kuna makala ilitolewa mwaka jana, placing tz kama nchi zenye low IQ

ukitaka kupima hili angalia social engagment kwenye mambo ya muhimu
Aise ni ndogo mno watu wengi hawapendi vitu vya maana ila leta mada za ujinga watu wanavyokimbilia
 
Umewatumia watu wawili kuwajudge watu millioni 61. Mtoa mada hiyo siyo haki.
Sio wote mkuu lakini Idadi kubwa ya watu Wana low IQ kwanin tunasema hivyo angalia hata mda za muhimu wat wanavyokimbia
 
Back
Top Bottom