JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya.
Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu.
Kwa sasa ajari ni nyingi mno, kila siku kuna majanga ya kila aina, watu kuuwawa, watu kujiua, ajari za magari, milipuko ya matanker ya mafuta ya petrol n.k.
Sambamba na hilo, maisha yamekuwa magumu huku viongozi wa serikali wakijibu kwa kehebi na dharau.
Rais yuko kimyaaa kama sio kiongozi vile.
Kimbilio la mwisho ni kwenu viongozi, ongozeni maombi tulikomboe hili taifa. Itisheni maombi kila kona ya nchi tuliponye taifa.
Kumbukeni, vitu vikiendelea kupanda bei ni ngumu sana kuja kuvishusha bei na hivyo nchi itasimama ama kufirisika. Ajari na majanga yanaleta vifo na ulemavu, nchi yenye vilema inakuwa nchi mfu.