Hii Nchi Inateswa na Mambo Mengi Sana!!

Inateswa na CCM. Siku kila mtu akilitambua hili. Tutafika mbali sana.
 
Huu upuuzi ukiendelea kutamalaki, hili Taifa litageuka na kuwa la wendawazimu.
 
Mimi sishangai nadhani wameona njia pekee na kuwakomboa kutoka kwenye umaskini sio kufanya kazi bali ni kusifu na kuabudu, wanaona report ya CAG watu wamepiga hela lakini hawafukuzwi, hata mimi niko nje ya mfumo lakini ningekua kwenye mfumo ningeungana nao na kuanza kusifu.
 
Ngoja waendelee kutumika, siku wakistuka watakuta kumekucha.
 
Tanzania haizungumzwi tena.....kila mtu ni Mom...mom mom..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…