Eti "Wanaolipia ni wale walio nje ya Bima ya Afya kwa wote".
Kwani hii bima ilishaanza kufanya kazi?
Kwanza kuna wanachama wangapi?😀
Kwa iyo Bima ya Afya kwa Wote ndiyo imekuwa ngao ya kujikinga na maswali yote yanayohusu Wizara ya Afya?
Bima ya afya kwa kila mtu ,haiwezi tekelezeka hasa kwenye nchi za kiafrika ambapo , kila mtu kwenye mfumo amegeuka kuwa mwizi, swali simple hawa wakina Mwigulu na wengineo , wapo na pesa ngapi wenda zilizo katika mabenki ya nchi , au wekeza pitia kwa vibaraka wengine ndani ya nchi au Afrika Mashariki?
Ni mpumbavu tu atafikili hawa watu wapo kama wanenavyo mbele za nyuso zao.
Wahuni wengi nchi hii , wanaamini ili uwe na sauti lazima uwe na ukwasi ,sasa ukwasi unaupataje kama sio kuwa mwinzi ili hali hufanyi biahashara , ni mjinga tu atakubali hili.
Kama mtu anabisha hiundwe tume huru tumia vyombo vya nje , kuchnguza ukwasi wao mtashangaa, mwafikili why , watu wanangangania madaraka, ?
Swala sio madaraka bali huozo uliojificha nyuma yao