Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipango miji sijui wanalionaje hili siyo sawa kabisa yani frame kila kona aise,View attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
We Achana na tabia za kichawi hiziView attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
Fungua kiwanda uone Serikali invyokuja na utitiri wa KodiView attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
FramenomicsView attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
Ndo maendeleo na source ya mapato kwa TRA......View attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
Kuwa na kiwanda kwa Tz, TRA wanakuandama km unauza bangi vileNdo maendeleo na source ya mapato kwa TRA......
Jaribu kujenga viwanda uone huo mziki wake. Mtaji wote unaishia kwenye compliances
Uchumi unakua,View attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
Aseme na wafanyabiashara kwenye hizo frame wafanye nini? Au atakuwa anawapa pesa?Fremu zinakuhusu nini. Kwani kuna mtu amejenga kwenye kiwanja chako? Sawa umeshakereka na fremu kila kona sasa hebu toa ushauri kwa wenye fremu zao wabomoe wajenge nini sasa au wafanye nini. Usiwe unatoa lawama bila kutoa solution. Bata wahed!