Hii nchi kila kona fremu

Shida iko wapi? Kama utaratibu umefuatwa, Eneo ni lake kihalali..

Wakifunga mtasema kufuga mjini ni haitakiwi/uchafu,
Wakilima haitakiwi/maeneo ni finyu..

Wakiacha uwanjwa mtasema, hawaendelezi wapokonywe/wavamizi wa viwanjwa wachukue..

Kikubwa wawekewe standard za Ubora..

Frame zikiwa za kutosha hata Kodi zitapungua.
 
Fremu zinakuhusu nini. Kwani kuna mtu amejenga kwenye kiwanja chako? Sawa umeshakereka na fremu kila kona sasa hebu toa ushauri kwa wenye fremu zao wabomoe wajenge nini sasa au wafanye nini. Usiwe unatoa lawama bila kutoa solution. Bata wahed!
 
Aseme na wafanyabiashara kwenye hizo frame wafanye nini? Au atakuwa anawapa pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…