Yaani inabidi Framenomics itungiwe sheria kama ya EWURA iwe na Regulatory body yake. Maana inaonekana ni eneo nyeti linaloweza kuitoa nchi kiuchumi tukafika uchumi wa juu wa kati chapLabda katiba mpya inaweza ikaja na suala la framenomics
Malls za nini wakati kila kata ina soko?Wapo wanaopata hasa sehemu za kiabiasha kama kkoo na sehemu nyingine. At least ifike mahali watu wajenge malls n.k
Yani mifreme freme freme everywhere
Makonda and duka tu kubwa la dawaUmemuona Makonda ana Fremu? Au Mwigulu?
Sinza balaaa,ukianza kupita mskongo juu to goba ni balaaKama huku Mbezi ya chini, sasa hivi barabara yote ni frame frame zinajengwa kama utitiri. Unabaki kujiuliza nani atanunua kwa mwenzake
Yani kila anayejenga nje anawrka frame ya duka. Mtaani ninakpishi najiuliza wateja ni kina nani maana kila ukihesabu nyumba 3 badi 2 zina frame sasa sijui watauza nini.View attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
kuanzia makumbusho mpaka kinondoni studio kote fremuSinza balaaa,ukianza kupita mskongo juu to goba ni balaa
Napo,any tuko kwenye uchumi
Wa maframe
Ova
Sasa hili swali gani mtu mzima unaniuliza swali kama hili, kwahiyo ukimuona makonda ana frem wewe utafanya kwa kuwa makondo amefanya, kila mtu hubarikiwa na kufanikiawa tokana na njia zake sio kwasababu kafanya fulani na fulani.. Wewe kama unaona una kibali kwenye biashara fanya biashara wewe kama una kibali kwenye siasa fanya siasa nk usiige hujui mwenzako kapitia njia gani kufanikiwaUmemuona Makonda ana Fremu? Au Mwigulu?
😂😂LIONGEZWE KWENYE COMBINATION YA ELIMU:
DIVINITY ECONOMIC FREMU (DEF)
Tuonyeshe kiwanda chakoKubadili fikra za frameconomics