Hii nchi kumpata Mwanasiasa Mwaminifu ni ngumu sana labda yule Sokoine au huyu Tundu Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa tai ya Bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe sanaa tupu!

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu!

Wapinzani ndio hao walamba asali.

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu kwenye Siasa.
 
Tatizo ni mifumo iliyopo ambayo hai facilitate wazalendo waliopo!.

Hivi unategemea mtu alieingia madarakani kwa pesa yake atafanya kitu gani cha kizalendo zaidi ya kurudisha pesa aliyotumia kuingia madarakani?.
 
Unajua tatzo kubwa ni katiba

Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo

Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t
 
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu

Wapinzani ndio hao Walamba asali

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Waaminifu wapo isipokuwa hawapewi nafasi na badala yake nafasi muhimu zinagawiwa kwa kujuana!
 
Huwa natamani tubadili uongozi ingawaje huwa naamini hata hao wengine tutakao wapa utawala hawatabadili chochote tena wanaweza kufanya hali ndo ikawa mbaya zaidi
 
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usan
Tena haya ndio majizi makuu na hakuna uzalendo wowote!
Skafu za rangi ya Taifa lkn ndio yanapiga hela zetu na kuwekeza ktk vyombo vya usafiri!
 
Huwa natamani tubadili uongozi ingawaje huwa naamini hata hao wengine tutakao wapa utawala hawatabadili chochote tena wanaweza kufanya hali ndo ikawa mbaya zaidi
Hiyo ni sehemu ya maisha, wakizingua wanaondolewa! Lakini tusiogope mabadiliko!
 
Unajua tatzo kubwa ni katiba

Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo

Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t

Hiyo katiba mnayo ililia haindi kumaliza matatzo yote na mbaya zaidi katiba inaweza ikawepo uvunjwaji wa katiba ukawa upo pale pale
 
Unajua tatzo kubwa ni katiba

Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo

Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t
Unauhakika alichota hizo hela au story za vijiweni Tu.
 
Uzalendo au viongozi bora huanzia kwenye ngazi ya malezi toka utotoni,Familia bora yenye malezi yenye maadili mema hutoa viongozi waadilifu,kurekebisha unachokilalamikia hapa ni kuanzia kwenye malezi.
 
Hata huyo ni wale wale
Tunataka watu wote waandaliwe wakiwa bado wadogo
Mtoto anakuja na madaftari na kalamu mpya nyumbani baba huulizi

Hiyo katiba mnaililia je itakuwa na vipengele vya mtu akiiba afungwe miaka 30 badala ya kuhamishwa?

Je Rushwa itaisha kwa Katiba
 
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu

Wapinzani ndio hao Walamba asali

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Ulikuwa hujui?
Tena mvaa skafu ndio mbweha kabisa
 
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu

Wapinzani ndio hao Walamba asali

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Kama wewe ni muamimifu basi wapo wengi mitaani. Kuwepo waaminifu na kutowepo ni muono wa muhusika.

Ila dunia siku zote ina wote wawili.
Waaminifu na wasio waaminifu.
 
Unajua tatzo kubwa ni katiba

Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo

Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajicholesha sana, wakati mwingine kaa kimya tu, Tundu is one of the most evil people ever lived in this Country, …
 
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu

Wapinzani ndio hao Walamba asali

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa

Wamaaminifu wapo kila kona. Ni mfumo ndio unao wavunja moyo na kujikuta wamedumbukia majaribuni.
 
Sasa hivi tuna mpaka marais wanaohimiza wizi serikalini.
 
Back
Top Bottom