Hii nchi kumpata Mwanasiasa Mwaminifu ni ngumu sana labda yule Sokoine au huyu Tundu Lissu

Hii nchi kumpata Mwanasiasa Mwaminifu ni ngumu sana labda yule Sokoine au huyu Tundu Lissu

Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu

Wapinzani ndio hao Walamba asali

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Tuonyeshe uam8n8fu wa Tundu Lissu please!!!!
 
Unajua tatzo kubwa ni katiba

Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo

Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t

Kwani now hakuna katiba?

Au katiba ya sasa inaruhusu kufanya hayo mambo?

Africa hata kuwe na katiba mpya 100000 bado hayo mambo utakuwa hivyo hivyo

Huyo lisu mwenyewe sio wa kumwamini,
 
Tutaongea sana ila tatizo ni katiba na mwarubaini ni katiba mpya ile ya Mzee Warioba
 
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu

Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu

Wapinzani ndio hao Walamba asali

Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
MAGUFULI VIPI?
 
Kwani now hakuna katiba?

Au katiba ya sasa inaruhusu kufanya hayo mambo?

Africa hata kuwe na katiba mpya 100000 bado hayo mambo utakuwa hivyo hivyo

Huyo lisu mwenyewe sio wa kumwamini,
Inaonekana hujaisoma katiba mpya

Lengo kuu la katiba mpya ilikuwa ni kupunguza mamlaka ya rais

Katiba iliyopo sasa rais anaweza hata kukufyatua risasi wewe na sisi watz tusimfanye kitu
 
Hakuna anaekuja kukuomba kura kwa manufaa yako watu wanaangalia manufaa yao binafsi hata huyo lisu unaemsema usidhani eti anauchungu sana na wewe, kila mtu Yuko kwaajili ya kutengeneza maisha yake, watu wanatumia sura ya kujifanya Wana huruma ili yao yaende
 
Inaonekana hujaisoma katiba mpya

Lengo kuu la katiba mpya ilikuwa ni kupunguza mamlaka ya rais

Katiba iliyopo sasa rais anaweza hata kukufyatua risasi wewe na sisi watz tusimfanye kitu

Then madaraka ya rais yakipungua ndio uhalifu unapungua?

Gharama za Maisha zinapungua?

Ww binafsi na family yako, rais akipunguziwa madaraka unapata faida gani?
 
Back
Top Bottom