johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waaminifu wapo isipokuwa hawapewi nafasi na badala yake nafasi muhimu zinagawiwa kwa kujuana!Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu
Wapinzani ndio hao Walamba asali
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Tena haya ndio majizi makuu na hakuna uzalendo wowote!Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usan
Hiyo ni sehemu ya maisha, wakizingua wanaondolewa! Lakini tusiogope mabadiliko!Huwa natamani tubadili uongozi ingawaje huwa naamini hata hao wengine tutakao wapa utawala hawatabadili chochote tena wanaweza kufanya hali ndo ikawa mbaya zaidi
Unajua tatzo kubwa ni katiba
Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo
Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t
Unauhakika alichota hizo hela au story za vijiweni Tu.Unajua tatzo kubwa ni katiba
Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo
Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t
Ulikuwa hujui?Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu
Wapinzani ndio hao Walamba asali
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Hiyo haitakuwa katiba ya wananchi labda katiba ya CCM ndiyo itachezewa!Hiyo katiba mnayo ililia haindi kumaliza matatzo yote na mbaya zaidi katiba inaweza ikawepo uvunjwaji wa katiba ukawa upo pale pale
Ukivunja unashughulikiwa kama kupata kifungo lakin sahv hii ya sasa kila kitu kinafanywa na mtu mmoja na hatuwez kumshughulikia hata akiborongaHiyo katiba mnayo ililia haindi kumaliza matatzo yote na mbaya zaidi katiba inaweza ikawepo uvunjwaji wa katiba ukawa upo pale pale
Kama wewe ni muamimifu basi wapo wengi mitaani. Kuwepo waaminifu na kutowepo ni muono wa muhusika.Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu
Wapinzani ndio hao Walamba asali
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Unajua tatzo kubwa ni katiba
Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo
Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu
Wapinzani ndio hao Walamba asali
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Hadithi za vijiweni MKUU.Unauhakika alichota hizo hela au story za vijiweni Tu.