Tuonyeshe uam8n8fu wa Tundu Lissu please!!!!Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu
Wapinzani ndio hao Walamba asali
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Unajua tatzo kubwa ni katiba
Tukibadili katiba lazima watapatikana wazalendo,maana mfumo utawalazimisha kuwa wazalendo
Mfano kama Magu alikuwa mzalendo ila baada ya kupiga kazi na kuona kazi ya urais ni ngumu sana na akafikiria awamu wa nne jinsi watu walivyokula maisha na yeye akaamua asitoke kapa akaamua kuchota 1.5 t
Ukivunja unashughulikiwa kama kupata kifungo lakin sahv hii ya sasa kila kitu kinafanywa na mtu mmoja na hatuwez kumshughulikia hata akiboronga
Hiyo haitakuwa katiba ya wananchi labda katiba ya CCM ndiyo itachezewa!
MAGUFULI VIPI?Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa Tai ya bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe Sanaa tupu
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu
Wapinzani ndio hao Walamba asali
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu Kwenye Siasa
Inaonekana hujaisoma katiba mpyaKwani now hakuna katiba?
Au katiba ya sasa inaruhusu kufanya hayo mambo?
Africa hata kuwe na katiba mpya 100000 bado hayo mambo utakuwa hivyo hivyo
Huyo lisu mwenyewe sio wa kumwamini,
Inaonekana hujaisoma katiba mpya
Lengo kuu la katiba mpya ilikuwa ni kupunguza mamlaka ya rais
Katiba iliyopo sasa rais anaweza hata kukufyatua risasi wewe na sisi watz tusimfanye kitu
Kwa mjibu wa MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALIUnauhakika alichota hizo hela au story za vijiweni Tu.
Tundu lisu you must be joking walahi [emoji35]