Hii nchi kuna watu wana pesa halafu hawana mbwembwe

Wazee m auza mbususus nini? Maana hiyo ndio bidhaa pendwa na fast moving kwa hapa tz
 
Hiyo ni hela ya kawaida mno Kwa mfanyabiashara mkubwa ambaye ni agent wa bidhaa fulani ambaye ana magodown kwenye mikoa kadhaa na maduka ya jumla kadhaa. Pia kuna watu wananunua ili wakauze nje ya nchi na kwenye mikoa jirani.

Sana sana kwenye sekta ya mafuta ya petrol/diesel, ngano, mafuta ya kupaka, mafuta ya kula, pombe, vifaa vya ujenzi, sabuni za unga/kipande, vinywaji, gesi, pedi za wanawake, pampas za watoto, spares, mbolea, viwatilifu/kemikali za kilimo, chumvi, vitu na kemikali za migodini, pharmacy/madawa ya jumla, condom n.k
 
Mnatakiwa muone fursa huko sio kubakia kusifia watu...
Mfano; useme kama kuna mtu/watu wenye uwezo wa kupata/kukopa mtaji wa kiasi kadhaa aje tufanye biashara. Kwa sababu wewe tayari umeona njia/fursa, pengine miaka kadhaa ijayo na wewe ukasifiwa.
Ndivyo wachina/wazungu wanavyotoka.........
 
Alafu upande mwengine kuna na Mwambino, kila siku yupo kwenye kutumia nguvu nyingi tumuone kuwa ni Tajiri
 
Hicho kitakuwa kiwanda cha shurubati Kibaha.. Bisha
 
Yeah,siye wa kubangaiza ndiyo kilasiku kujitutumua na kujionyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…