Ivan Godwin
Member
- Oct 19, 2024
- 10
- 3
Njoo hapa kibaha kwenye viwanda vya wachina ujionee pesa
Kuna fogo hapo Dar anachota pesa kwa spade kuzipaki kwenye kiroba....ASEE, salesman utashudia mengi sana. niliwahi kuona mtu salasala analipa mtu dolla laki tano mkononi. hiyo ni sawa 1.2B na zilikuwa ndani kwenye bag tu la kawaida
To have money is a good feeling, the more you have the more you will need more moneyWakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.
Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.
Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
Ni mtu binafsi na pia angalia kama hatumiwi na akina Samia kufanya biashara.Aisee wewe hadi maisha umefeli, sasa wabongo wako wangapi wanafanya such payments, utawajuaje, mm nimekutajia kiwanda pendwa cha kichina mtanzania anaweza to pesa hiyo at once.
Unaferi sana kuku ww.
Tupo tunawacheki tu...Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.
Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.
Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
Wanaamini mwenye hela karogaau basi😆