Hii nchi kuna watu wana pesa halafu hawana mbwembwe

Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.

Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.

Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
To have money is a good feeling, the more you have the more you will need more money
 
Aisee wewe hadi maisha umefeli, sasa wabongo wako wangapi wanafanya such payments, utawajuaje, mm nimekutajia kiwanda pendwa cha kichina mtanzania anaweza to pesa hiyo at once.
Unaferi sana kuku ww.
Ni mtu binafsi na pia angalia kama hatumiwi na akina Samia kufanya biashara.
 
Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.

Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.

Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
Tupo tunawacheki tu...
 
Back
Top Bottom