FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma, na hata mijini, kwenye hii moji midogo, mfano Kondoa, hamna watu kabisa, au tunahujumiwa nini?
Kwani hao watu milioni 60 wapo wapi? Maana hapa Dar hata Milioni 6 hatufiki, ukipita barabara za kwenda mikoani ni mapori matupu, hakuna watu., hivi kuna maendelo gani tutapata kwa uhaba wa watu kiasi hiki?