Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Watu wako wengi sana huko ndani ndani kusiko na lami. Kafike vijiji vya Meatu, Bariadi, Bukombe, Sikonge, Chunya, Mpanda na kwingineko, ndio utajua hii nchi ni kubwa na ina watu kibao.Sasa kwenye lami si ndio nafuu kidogo, huko ndani ndio hamna kitu, mapori ya mkaa na mashamba ya mahindi tu.., yaani hamna watu!