Hii nchi mbona tupu hivi, hao watu milioni 60 tunaoambiwa wako wapi?

Hii nchi mbona tupu hivi, hao watu milioni 60 tunaoambiwa wako wapi?

Ni kweli watu utawaona kweny miji mikubwa tu .
Tanzania tunageuzwa kama hifadhi ya wanyama, mapori na mavijiji yasio ma watu.., maendeleo yatatoka wapi?!Simba na tembo ndio wataijenga nchi?

Kibaya zaidi Madada ya siku hizi kazi ni kunywa P2 kama karamga, na Wamarekani wanazimwaga P2 kama ugomvi.., kazi kutoa mimba tu..

Babalevo kaniumiza sana na mavideo yake toka China, yaani Namtumbo au Kahama ya China hata Dar hatufikii.., w

Nauliza, watu milioni 60 wako wapi?!
 
Siku hizi P2 na arbotion zimekuwa rampant sana, tusipoangalia tutakuwa kuwa kama Red Indians au Aborigines. Isije kuwa tunapunguzwa mdogomdogo , kuja kushtuka its too late!
Ni sahihi kabisa.
Kwa sasa uendelezaji wa kizazi umekuwa changamoto.
Matumizi ya P2, abortion na contraceptives nyinginezo yamepelekea wanawake kusotea watoto.
 
Kiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma.., na hata mijini, kwenye hii moji midogo, mfano Kondoa , hamna watu kabisa.., au tunahujumiwa nini?

Kwani hao watu milioni 60 wapo wapi? Maana hapa Dar hata Milioni 6 hatufiki.., ukipita barabara za kwenda mikoani ni mapori matupu, hakuna watu., hivi kuna maendelo gani tutapata kwa uhaba wa watu kiasi hiki?!
Umewaitaje wazee hapo kwenye bandiko lako?
 
Politics is all about Lying and Drama Games.
Ndio maana hata kama una Fedha za kutosha huruhusiwi kuhesabu watu bila kibali.
Kumbuka Mikakati na Hatua muhimu kuekekea New World Order.
Na hii ndio inatia shaka sana, kwamba USA huwa wanatoa pesa kwa ajili ya kuhesabu watu, huwa wana maslahi gani?

Hivi inaingia akilini nchi yenye watu milioni 60 kushindwa kununua mabasi 100 ya mwendokasi na kuundesha mradi kwa faida. 60 million people!

Au tupo milioni 6 ila tunandanganywa? Usikute hata Rwanda katuzidi population, tunazugwa tu..
 
Kiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma, na hata mijini, kwenye hii moji midogo, mfano Kondoa, hamna watu kabisa, au tunahujumiwa nini?

Kwani hao watu milioni 60 wapo wapi? Maana hapa Dar hata Milioni 6 hatufiki, ukipita barabara za kwenda mikoani ni mapori matupu, hakuna watu., hivi kuna maendelo gani tutapata kwa uhaba wa watu kiasi hiki?
Labda wamehesabia huko na mapepo?
 
Tatizo ni kuwa umepita kwenye lami tu.
 
Back
Top Bottom