FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mkuu kua na heshima basi kwa wazee wetu. Huwezi kutumia maneno yasiyo ya staha hivyo eti vizee vizee visivyo na mbele wala nyuma. Hao unaowaita vizee ni watu ambao walikua vijana kama wewe na wamelitumikia hii nchi kwa wakati wao na sasa wameishiwa nguvu sababu ya umri, usiwadharau.Kiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma.., na hata mijini, kwenye hii moji midogo, mfano Kondoa , hamna watu kabisa.., au tunahujumiwa nini?
Kwani hao watu milioni 60 wapo wapi? Maana hapa Dar hata Milioni 6 hatufiki.., ukipita barabara za kwenda mikoani ni mapori matupu, hakuna watu., hivi kuna maendelo gani tutapata kwa uhaba wa watu kiasi hiki?!
Ukimtumtukana km la mmk, Mods wanakuona mkorofi kumbe yy ndio kaanza kudharau wazee wetuMkuu kua na heshima basi kwa wazee wetu. Huwezi kutumia maneno yasiyo ya staha hivyo eti vizee vizee visivyo na mbele wala nyuma. Hao unaowaita vizee ni watu ambao walikua vijana kama wewe na wamelitumikia hii nchi kwa wakati wao na sasa wameishiwa nguvu sababu ya umri, usiwadharau.
Nyie mnaojiita wadudu heshima kwa wazee hakuna, mmezaliwa gesti, mmekulia malezi mabaya, hovyo kabisa.
Huu mguu wa tembo 😆
We jamaa hizi picha unazitoaga wapi😂
Mbona hio picha yakawaida huku mbungani kwetuWe jamaa hizi picha unazitoaga wapi😂
Utakuwa ni ugonjwa.Huu mguu wa tembo 😆
Sasa mtu unaishije kondoa
Nchi kubwa ni sawa, lakini mbona hakuna dalili ya kuwa na watu milioni 60?!, isije kuwa tunaingizwa mkenge.., kwanza nani huwa ana fadhili hii sensa, na kwa maslahi gani?Nchi kubwa sana ili tujae labda tufike mil 300
Kwa kifupi bongo spidi ya kuzaliana bado ndogo sana.. tunabebwa tu na ukubwa wa nchi... rwanda (ambayo ni kama mkoa mmoja wa bongo) tu hapo 2016 walikuwa m11... population density hiyo bongo hatuifikiiKiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma.., na hata mijini, kwenye hii moji midogo, mfano Kondoa , hamna watu kabisa.., au tunahujumiwa nini?
Kwani hao watu milioni 60 wapo wapi? Maana hapa Dar hata Milioni 6 hatufiki.., ukipita barabara za kwenda mikoani ni mapori matupu, hakuna watu., hivi kuna maendelo gani tutapata kwa uhaba wa watu kiasi hiki?!