Hii nchi mbona tupu hivi, hao watu milioni 60 tunaoambiwa wako wapi?

Ni kweli watu utawaona kweny miji mikubwa tu .
Tanzania tunageuzwa kama hifadhi ya wanyama, mapori na mavijiji yasio ma watu.., maendeleo yatatoka wapi?!Simba na tembo ndio wataijenga nchi?

Kibaya zaidi Madada ya siku hizi kazi ni kunywa P2 kama karamga, na Wamarekani wanazimwaga P2 kama ugomvi.., kazi kutoa mimba tu..

Babalevo kaniumiza sana na mavideo yake toka China, yaani Namtumbo au Kahama ya China hata Dar hatufikii.., w

Nauliza, watu milioni 60 wako wapi?!
 
Siku hizi P2 na arbotion zimekuwa rampant sana, tusipoangalia tutakuwa kuwa kama Red Indians au Aborigines. Isije kuwa tunapunguzwa mdogomdogo , kuja kushtuka its too late!
Ni sahihi kabisa.
Kwa sasa uendelezaji wa kizazi umekuwa changamoto.
Matumizi ya P2, abortion na contraceptives nyinginezo yamepelekea wanawake kusotea watoto.
 
Umewaitaje wazee hapo kwenye bandiko lako?
 
Politics is all about Lying and Drama Games.
Ndio maana hata kama una Fedha za kutosha huruhusiwi kuhesabu watu bila kibali.
Kumbuka Mikakati na Hatua muhimu kuekekea New World Order.
 
Politics is all about Lying and Drama Games.
Ndio maana hata kama una Fedha za kutosha huruhusiwi kuhesabu watu bila kibali.
Kumbuka Mikakati na Hatua muhimu kuekekea New World Order.
Na hii ndio inatia shaka sana, kwamba USA huwa wanatoa pesa kwa ajili ya kuhesabu watu, huwa wana maslahi gani?

Hivi inaingia akilini nchi yenye watu milioni 60 kushindwa kununua mabasi 100 ya mwendokasi na kuundesha mradi kwa faida. 60 million people!

Au tupo milioni 6 ila tunandanganywa? Usikute hata Rwanda katuzidi population, tunazugwa tu..
 
Labda wamehesabia huko na mapepo?
 
Tatizo ni kuwa umepita kwenye lami tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…