Watu wako wengi sana huko ndani ndani kusiko na lami. Kafike vijiji vya Meatu, Bariadi, Bukombe, Sikonge, Chunya, Mpanda na kwingineko, ndio utajua hii nchi ni kubwa na ina watu kibao.