Nimemaliza....Hebu hitimisha kwanza 😂
Nilikuwa nauita msukule umefika.. 😀
Tena ni vile watu humu hawajui, huyu Shujaa mwanamke, ambaye sikumtaja Jina, ukoo wa mama yake ni Tesha, yule Jacob Tesha wa RTD ya Zaman, mimi namwita mjomba!.
P
Nimemaliza....Hebu hitimisha kwanza 😂
Tena ni vile watu humu hawajui, huyu Shujaa mwanamke, ambaye sikumtaja Jina, ukoo wa mama yake ni Tesha, yule Jacob Tesha wa RTD ya Zaman, mimi namwita mjomba!.
P
Duh...!, kuniita msukule ni dharau kwangu.Nimemaliza....
Nilikuwa nauita msukule umefika.. 😀
Nyie wazee mmekula cake ya taifa wenzetu..!!Halafu hapo mama kashafanya kazi Ikulu saana tangu enzi za Nyerere.
Halafu kijiweni kila siku nakaa na mtoto wa Mkapa. Waliiweka picha ya Mkapa nikasema iondoeni picha kijiwe hiki si cha CCM.
Mimi kura ya kwanza nikampa Mrema.
Mother alinimind kichizi.
Lakini uchaguzi ulirudiwa Dar 1995 kura yangu haikuhesabiwa.
Tangu hapo nikajua Tanzania kura haina maana nikahama na nchi kimoja 😂😂😂
Hakika mkuu, nimepata kituTena ni vile watu humu hawajui, huyu Shujaa mwanamke, ambaye sikumtaja Jina, Thread 'Tribute to Silent Heroes!. Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till Death!”. Jee Huu Sio Ubaguzi?. Why Only Some are Cared to Death but not All?!' Tribute to Silent Heroes!. Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till Death!”. Jee Huu Sio Ubaguzi?. Why Only Some are Cared to Death but not All?! ni wa ukoo wa Tesha, mama yake ni TeTesha, hata yule Jacob Tesha wa RTD ya zamani, ni ndugu yetu, mimi namwita mjomba!. Tesha ni Wachagga wa Kirua Vunjo, wenyewe wanaita KV!.
P
Usimaindi mkuu...Duh...!, kuniita msukule ni dharau kwangu.
P
Viapo vya utiifu kwa viongozi wabadhilifu wafanya dhulma wala rushwa na wauza rasimali zetu. Wanatubagaza kila kukicha..Jeshi lipo sahihi, wana viapo vya utiifu. Jukumu limebaki kwa raia.
Nyie wazee mmekula cake ya taifa wenzetu..!!
Ulikuwa wa kishua halafu mtata mpaka unamvimbia mtoto wa prezidaa..? 😹
Hapo kwa Mrema kumpigia kura nacheka sana 😹😹😹🤣
Hivi ingekuwa miaka hii ungempigia kura?
Mnachokosea ni kudhani kwenye hilo genge hilo jeshi halina mkono wakeNgumu kweli kinachouma wanaongoza utekaji wapo na tumeambiwa ni mwafwele na genge lake sasa unajiuliza hao kinamwafwele wanaishi wapi mbona wanatamba sana hatuwezi hata waloga yani inauma
Captain Tesha tayari kashasogea front ulitaka kusemaje mkuu?
Mtume feki kwenye hema lake kwanza sio lake la waliomnunulia ili aendelee kuwapumbaza wajinga kule anawaambia waumini wake yule ni askari feki, nikazima TVHakuna chochote pale, wenzake waliofanya hivyo kina Traole walitoka hadharani kuongea na wananchi baada ya kuchukua udhibiti wa kila idara. Sasa yeye anatoka tu na kuongea bra bra nyingi, hiyo ni kufanya wahusika wawe makini. Hayo mambo huwa ni kimya kimya tu unakuja kushuka tayari watu wamefanya yao.
Ungempokonya na hela yenye bichwa la baba yake ukaifanyie matumizi kumuonyesha undava 😹😹😹Mimi nimepiga kura kwa miguu yangu kuelekea Dar International Airport.
Sasa si bora huyo alikuwa rafiki yangu.
Shule ya msingi mtoto wa Mwinyi aliniletea ubishoo. Nilikuwa nakaa naye dawati moja.
Sasa kila siku ananipigia stories za kunata Ikulu.
Mara ndugu zake wakija anajifanya kalala ndani hataki kuongea nao. Kila siku story mpya ya ubishoo wake Ikulu.
Kumbe mimi ananiboa tu.
Sasa siku hiyo kulikuwa na shilingi mpya ile ya kung'ara imetoka. Ina picha ya baba yake, Mwinyi. Nafikiri ilikuwa 1986 ile shilingi ya kwanza ya Mwinyi kama sikosei.
Akawa ananiringishia baba yake yupo kwenye shilingi.
Nikajisemea "Wewe hunijui kichaa changu wewe. Mimi sijali kama baba yako rais au mfagizi. Nitakuonesha kuwa hapa darasani wote tupo sawa. Ukome kuringa".
Nikamzaba kibao kimoja cha ghafla bin vuu kumnyamazisha.
Akatulia tulii.
Nikamwambia sitaki ubishoo hapa, kama baba yako rais basi huko huko kwenu Ikulu, hapa darasani wote sawa.
Darasa zima likawa kimyaa.
Akawa anataka kwenda kunisemea kwa mwalimu. Rafiki yake mmoja akamwambia huyu Kiranga ni kichaa ukimsemea kwa mwalimu ndiyo ugomvi utakuwa umepamba moto.
Akaogopa kunisemea. Kuanzia hapo ikawa heshima na adabu.
Ila leo nikifikiria nyuma naona kama nilitumia nguvu sana bila kuwa justified, ulikuwa utoto tu.
Hiyo 1986 mtoto wa the late Al-Hajj Ali Hassan Mwinyi, mtu wa watu.Ungempokonya na hela yenye bichwa la baba yake ukaifanyie matumizi kumuonyesha undava 😹😹😹
Hiyo shule natamani ningekuwepo niwachune watoto wa kishua 🤣
Ningekuwepo miaka hiyo ningeforce mpk nisome hiyo shule yenu, kulikuwa na fursa sana..!!
Hakukuwa na mademu wa kula pesa zenu huko??
Huyo mtoto wa Mwinyi yupi? The late au prezidaa?
Jamaa yangu ee wakifunga Instagram inapatikana hule kule fanya kuidownlod kabisaHuyo capitaine tesha haaminiki, anaonekana ni mzugaji tu
Anaumwa kifua kikavu sana madakatari wafanye jambo kabla hali haijawa mbaya zaidiTesha mpaka mda huu hajatusaidia kitu
Rais alikuwa Arusha kashindwa hata kumteka
Dawa zenyewe za kuwaloga hatuna mkuuNgumu kweli kinachouma wanaongoza utekaji wapo na tumeambiwa ni mwafwele na genge lake sasa unajiuliza hao kinamwafwele wanaishi wapi mbona wanatamba sana hatuwezi hata waloga yani inauma
Bora huyo dogo Abdul alikua anaingia class na mabunda ya madolla mifukoniMimi nimepiga kura kwa miguu yangu kuelekea Dar International Airport.
Sasa si bora huyo alikuwa rafiki yangu.
Shule ya msingi mtoto wa Mwinyi aliniletea ubishoo. Nilikuwa nakaa naye dawati moja.
Sasa kila siku ananipigia stories za kunata Ikulu.
Mara ndugu zake wakija anajifanya kalala ndani hataki kuongea nao. Kila siku story mpya ya ubishoo wake Ikulu.
Kumbe mimi ananiboa tu.
Sasa siku hiyo kulikuwa na shilingi mpya ile ya kung'ara imetoka. Ina picha ya baba yake, Mwinyi. Nafikiri ilikuwa 1986 ile shilingi ya kwanza ya Mwinyi kama sikosei.
Akawa ananiringishia baba yake yupo kwenye shilingi.
Nikajisemea "Wewe hunijui kichaa changu wewe. Mimi sijali kama baba yako rais au mfagizi. Nitakuonesha kuwa hapa darasani wote tupo sawa. Ukome kuringa".
Nikamzaba kibao kimoja cha ghafla bin vuu kumnyamazisha.
Akatulia tulii.
Nikamwambia sitaki ubishoo hapa, kama baba yako rais basi huko huko kwenu Ikulu, hapa darasani wote sawa.
Darasa zima likawa kimyaa.
Akawa anataka kwenda kunisemea kwa mwalimu. Rafiki yake mmoja akamwambia huyu Kiranga ni kichaa ukimsemea kwa mwalimu ndiyo ugomvi utakuwa umepamba moto.
Akaogopa kunisemea. Kuanzia hapo ikawa heshima na adabu.
Ila leo nikifikiria nyuma naona kama nilitumia nguvu sana bila kuwa justified, ulikuwa utoto tu.
Dah changamoto mkuuDogo duniani kote serikali dhalimu nyingi huwa zinaangushwa na wanainchi wakipewa support na jeshi na sio kinyume chake.
Wabongo mnatamani sana serikali dhalimu ya ccm ianguke halafu wakati mpo tu mnang'aa ng'aa sharubu tu hamjui hata muanzie wapi... b
Yaani mnataka jeshi liwasaidie halafu nyie mbaki kuwa onlookers tu wa kupiga vigere gere na miruzi? Ni ngumu sana hiyo kutokea kwa taifa tulivu kama hili letu.
Wabongo tungekuwa ni watu aggressive kwa kile alichokifanya juzi Naodha Tesha, ukiongeza na hili tukio la kutekwa kwa mtu kama HP ilipaswa sasa hivi nchi yetu iwe ni habari ya dunia... yaan kila mtu duniani awe anatuongelea sisi.
Na endapo kama ccm itavuka salama october hii, basi Tesha na wenzake watajutia sana kwa kile kitendo walichofanya juzi na watawadharau sana watanzania.