Hii nchi ngumu sana raia wanawategemea wanajeshi wawakomboe kumbe tena wanajeshi nao wanawategemea raia

Hii nchi ngumu sana raia wanawategemea wanajeshi wawakomboe kumbe tena wanajeshi nao wanawategemea raia

ULICHO ANDIKA NI KWELI SANA SIJUI NANI KAKUPA HII SIRI KUBWA NAMNA HII😁😁😁😁 NILIJUA NI MIMI TU NINAYE IJUA ....HATA MKUU WA MAJESHI NAYE ANAWATEGEMEA RAIA WAIKOMBOE NCHI 😁😁 NDIYO MAANA NILISEMA KAMA RAIA WAKIKOMBOA NCHI BASI NI LAZIMA JESHI NA MAJESHI YOTE YAVUNJWE
Sasa mkuu wa majeshi badala yeye asokote kikosi sisi tutafnayeje sasa
 
Ngumu kweli kinachouma wanaongoza utekaji wapo na tumeambiwa ni mwafwele na genge lake sasa unajiuliza hao kinamwafwele wanaishi wapi mbona wanatamba sana hatuwezi hata waloga yani inauma
Yan hapa wachawi ndio wanapotuangusha jamani🧐
 
Na endapo kama ccm itavuka salama october hii, basi Tesha na wenzake watajutia sana kwa kile kitendo walichofanya juzi na watawadharau sana watanzania.
Maandamano yapo niamini mimi
 
Sasa mkuu wa majeshi badala yeye asokote kikosi sisi tutafnayeje sasa
Wacha watanzania wapumbavu wakome kwanza ...JPM alikuwa anapambana na wahalifu na wahuni wa ccm ...chadema na watanzania kina mange wakamtukana na kumpinga na kuwa tetea mafisadi kina singasinga kuwa wanaonewa leo kina lissu mbona atuwaoni hao masinga singa wakimtetea ..nakumbuka kina lissu walisema jpm anapora mali za matajiri kina Rostam na singa singa ...

WANASIASA WA TANZANOA WATAJIFUNZA KWA UCHUNGU SANA...Tulionya wanawake kuwa viongozi...tulionya viti vya upendeleo kwa wanawake bungeno ...tulipnya wanawake kuwa wanasiasa.....tulionya dini kuingizwa kwenye mashuleni ya elimu dunia ....tulionya masomo ya dini kwenye shule za serikali...je ni nani aliye tusikia si wakristo wala waislamu
 
Back
Top Bottom