Hii nchi ngumu sana raia wanawategemea wanajeshi wawakomboe kumbe tena wanajeshi nao wanawategemea raia

Nyie wazee mmekula cake ya taifa wenzetu..!!

Ulikuwa wa kishua halafu mtata mpaka unamvimbia mtoto wa prezidaa..? 😹

Hapo kwa Mrema kumpigia kura nacheka sana 😹😹😹🀣

Hivi ingekuwa miaka hii ungempigia kura?
 
Hakika mkuu, nimepata kitu
 
Jeshi lipo sahihi, wana viapo vya utiifu. Jukumu limebaki kwa raia.
Viapo vya utiifu kwa viongozi wabadhilifu wafanya dhulma wala rushwa na wauza rasimali zetu. Wanatubagaza kila kukicha..
Kama utiifu ni wa dizaini hiyo hapana kwakweli.. utiifu ni kwa kiongozi mzalendo na mpenda nchi na wananchi wake.
 
Nyie wazee mmekula cake ya taifa wenzetu..!!

Ulikuwa wa kishua halafu mtata mpaka unamvimbia mtoto wa prezidaa..? 😹

Hapo kwa Mrema kumpigia kura nacheka sana 😹😹😹🀣

Hivi ingekuwa miaka hii ungempigia kura?

Mimi nimepiga kura kwa miguu yangu kuelekea Dar International Airport.

Sasa si bora huyo alikuwa rafiki yangu.

Shule ya msingi mtoto wa Mwinyi aliniletea ubishoo. Nilikuwa nakaa naye dawati moja.

Sasa kila siku ananipigia stories za kunata Ikulu.

Mara ndugu zake wakija anajifanya kalala ndani hataki kuongea nao. Kila siku story mpya ya ubishoo wake Ikulu.

Kumbe mimi ananiboa tu.

Sasa siku hiyo kulikuwa na shilingi mpya ile ya kung'ara imetoka. Ina picha ya baba yake, Mwinyi. Nafikiri ilikuwa 1986 ile shilingi ya kwanza ya Mwinyi kama sikosei.

Akawa ananiringishia baba yake yupo kwenye shilingi.

Nikajisemea "Wewe hunijui kichaa changu wewe. Mimi sijali kama baba yako rais au mfagizi. Nitakuonesha kuwa hapa darasani wote tupo sawa. Ukome kuringa".

Nikamzaba kibao kimoja cha ghafla bin vuu kumnyamazisha.

Akatulia tulii.

Nikamwambia sitaki ubishoo hapa, kama baba yako rais basi huko huko kwenu Ikulu, hapa darasani wote sawa.

Darasa zima likawa kimyaa.

Akawa anataka kwenda kunisemea kwa mwalimu. Rafiki yake mmoja akamwambia huyu Kiranga ni kichaa ukimsemea kwa mwalimu ndiyo ugomvi utakuwa umepamba moto.

Akaogopa kunisemea. Kuanzia hapo ikawa heshima na adabu.

Ila leo nikifikiria nyuma naona kama nilitumia nguvu sana bila kuwa justified, ulikuwa utoto tu.
 
Kwaiyo wanategemeana? πŸ˜„ 🀣
 
Ngumu kweli kinachouma wanaongoza utekaji wapo na tumeambiwa ni mwafwele na genge lake sasa unajiuliza hao kinamwafwele wanaishi wapi mbona wanatamba sana hatuwezi hata waloga yani inauma
Mnachokosea ni kudhani kwenye hilo genge hilo jeshi halina mkono wake
 
Hakuna chochote pale, wenzake waliofanya hivyo kina Traole walitoka hadharani kuongea na wananchi baada ya kuchukua udhibiti wa kila idara. Sasa yeye anatoka tu na kuongea bra bra nyingi, hiyo ni kufanya wahusika wawe makini. Hayo mambo huwa ni kimya kimya tu unakuja kushuka tayari watu wamefanya yao.
Captain Tesha tayari kashasogea front ulitaka kusemaje mkuu?
 
Mtume feki kwenye hema lake kwanza sio lake la waliomnunulia ili aendelee kuwapumbaza wajinga kule anawaambia waumini wake yule ni askari feki, nikazima TV
 
Ungempokonya na hela yenye bichwa la baba yake ukaifanyie matumizi kumuonyesha undava 😹😹😹

Hiyo shule natamani ningekuwepo niwachune watoto wa kishua 🀣
Ningekuwepo miaka hiyo ningeforce mpk nisome hiyo shule yenu, kulikuwa na fursa sana..!!
Hakukuwa na mademu wa kula pesa zenu huko??

Huyo mtoto wa Mwinyi yupi? The late au prezidaa?
 
Hiyo 1986 mtoto wa the late Al-Hajj Ali Hassan Mwinyi, mtu wa watu.
 
Huyo capitaine tesha haaminiki, anaonekana ni mzugaji tu
Jamaa yangu ee wakifunga Instagram inapatikana hule kule fanya kuidownlod kabisa

Tesha kazingua wakati rais akiwa Arusha alishindwa hata kumteka kweli au kumpiga kombora ?
 
Ngumu kweli kinachouma wanaongoza utekaji wapo na tumeambiwa ni mwafwele na genge lake sasa unajiuliza hao kinamwafwele wanaishi wapi mbona wanatamba sana hatuwezi hata waloga yani inauma
Dawa zenyewe za kuwaloga hatuna mkuu

Mimi nalilaumu jeshi kakosekana hata mzalendo mmoja kweli
 
Bora huyo dogo Abdul alikua anaingia class na mabunda ya madolla mifukoni
 
Dah changamoto mkuu

Kwahiyo tufanye kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…