Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga kweli kasahau mpaka majukumu yake [emoji23]Dada alivo mjibu anatoa jicho tapeli kasahau hadi kutapeli na nina uhakika yeye ndo katapeliwa
View attachment 2763733
🤣🤣famasihara nini
🤣😂 mtoto wa town kakutana na mtoto wa mjini tofauti imeonekana
Tapel anataka TIGO..Dada alivo mjibu anatoa jicho tapeli kasahau hadi kutapeli na nina uhakika yeye ndo katapeliwa
View attachment 2763733
Nimecheka sanaTapel anataka TIGO..
ila utelezi haujawahi acha mtu salama, tapeli kapoa kama sio wale ambao ukiwashtukia wanakutukana🤣
UdhuuuDada alivo mjibu anatoa jicho tapeli kasahau hadi kutapeli na nina uhakika yeye ndo katapeliwa
View attachment 2763733