Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

oladipo

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2022
Posts
2,240
Reaction score
3,842
Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili!

Hivi changamoto hasa Huwa ipo wapi? Mlioko huko kwenye meza za maamuzi hebu tupeni ndondoo hata kidogo.

​
 
Mazafakas eti wanaogopa kupinduliwa! Brainless idiots!
 
Sababu za CCM huwa ni kipumbavu sana
Eti wataingiza hela uchafu mara ugaidi
Pumbafu zao CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…