mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo motokaa ni kiboko.Ukiyakazia macho tu barabarani yanaona aibu na kuanza kuungua.Dualis imechuja round hii .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna gari hapo hayo ni mabokisi
Hii inathibitisha kuwasisi wa Tanganyika ni chokambaya
Hata LC au Fortuner hakuna. Unafikiri nazo zimekataliwa?Naona Hamna BMW, Mercedes Benz, Audi wala Volkswagen... Watanzania wamemkataa Mjerumani 😏
Adui mkubwa ni TRA!Hakuna gari hapo hayo ni mabokisi
Hii inathibitisha kuwasisi wa Tanganyika ni chokambaya
Uchumi wetu ndo umeshindwa kummudu.Naona Hamna BMW, Mercedes Benz, Audi wala Volkswagen... Watanzania wamemkataa Mjerumani 😏
Nakuelewa mkuu TRA ni majangaAdui mkubwa ni TRA!
Ukihitaji ufafanuzi sema!