Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

Hii unaweza kufanya hata ww mwenyewe ukiwa na muda. Angalia magari 10-20 yanayopita eneo fulan lenye mchanganyiko mkubwa
Serious? Hapana mkuu, hilo zoezi la kuhesabu magari hapana.
 
Prado kama hizi new model bei zake zimechangamka, kwa watz ni wachache wanaoweza kuzimudu
Hapana mkuu prado zinazonunuliwa sana na wabongo zinajulikana mimi sijazungumzia new model, hata crown kuna majesta ambazo bongo ni wachache wanaozimudu, ila kwa mtu anayejua ataelewa tu kuwa nilimaanisha athlete ndio zinanunuliwa sana
 
Back
Top Bottom